Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Lyrics

Download mp3: Jane Aller – Wastahili (Worthy) [Live]

Official Music and Video for "Wastahili (Worthy) - Live" by Jane Aller. Wastahili Worthy (Live)Download mp3 Lyrics Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili Wastahili, wastahili wastahili mwokozi You are worthy…

Read more