Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Bella Kombo – Nakungoja [Music + Video]

✍🏾NAKUNGOJA ni Wimbo wa Saburi uliozaliwa baada ya Kukutana na mtumishi wa MUNGU Kutoka Nchini Kenya @evelynwanjiru aliemsubiri Mungu kwa habari ya Uzao takribani miaka 10 ✍🏾Kwa kadiri ya Saburi na tumaini liliumbika ndani ya mtumishi wa MUNGU huyu ndipo Roho Mtakatifu Akanijalia Kuimba Wimbo huu ✍🏾Na kwa sasa Mungu amempatia mtoto kwa wakati maaalumu…

Read more