Na Uzima Wa milele ndiyo huu, wakujue wewe, MUNGU wa pekee wa kweli na YESU Kristo Uliyemtuma Yohana 17;3.Je! unamjua Yesu Kristo ni nani kwako binafsi? Katika Mathayo 16:13 Yesu aliwauliza wanafunzi wake watu wanamjuaje, na mwishoni aliwageukia haohao wanafunzi wanamjuaje.
Aliyemjibu alimjibu kwasababu Mungu alimfunua Yesu ndani yake, Acha Yesu ajifunue ndani yako…
