Official Music and Video for "Wastahili (Worthy) - Live" by Jane Aller.
Wastahili Worthy (Live)Download mp3
Lyrics
Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu
Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili
Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili
Wastahili, wastahili wastahili mwokozi
You are worthy…
